Katika muendelezo wa miradi yake, kampuni ya uzalishaji wa video ya True Vision Production imekita kambi huko mkoani Kigoma. Hii ni katika muendelezo wa utoaji wa taarifa kupitia miradi ya kiuchumi, kijamii na hata kiutamaduni kwa njia ya video.