Kama ilivyo kawaida kwa True Vision Production, kufanya kazi zenye ufanisi na katika ubora wa kipekee ndio msingi. Sio tu picha au video za nchi kavu, safari hii TVP imejikita hadi kwenye upande wa upigaji wa picha na video ndani ya maji yaan Underwater photography. 

Angalia baadhi ya picha mbalimbali mbali zilizopigwa ndani na nje ya maji lakini pia usiache kutazama video hiyo hapo chini ikikuonyesha jinsi upigaji wa picha eneo la maji.