Timu ya True Vision Production imekita kambi wilayani Kisarawe katika muendelezo wa kazi mbalimbali za kijamii. True Vision imekuwa ikizunguka takribani nchi nzima katika utendaji wa kazi mbalimbali zinazohusiana na makala za video na picha.