Tasnia ya habari ndio nguzo au mhimili unaotazamwa kwa jicho la pekee sana. Hasa kutokana na umuhimu wake wa kupeleka taarifa kwa jamii katika miundo mbalimbali. Taarifa hizi zinaweza kuwa za kuelimisha, kuburudisha na hata kuujulisha umma kuhusiana na jambo fulani. True vision Production (TVP) kama moja ya gwiji wa uchakataji na utoaji wa taarifa mbalimbali hasa katika muundo wa makala, matangazo, vipindi mablimbali vya radio na Televisheni na njia nyingine, imekuwa ikifanya kazi zake kwa weledi wa hali ya juu.

Hatua hiyo ya utendaji kazi wake ambao unaambatana na rasilimali watu wenye uwezo wa hali ya juu unaipa nafasi True Vision Production ya kumulika miradi mbalimbali lakini pia makongamano mbalimbali ya kiserikali na hata sekta binfasi.

Timu ya True Vision Production katika kuhakikisha jamii inapataa taarifa kuhusiana na wiki nzima ya Azaki 2019 iliyofanyika mjini Dodoma

 

Hakielimu

Timu ya True Vision katika kuhakikisha Sekta ya Elimu nayo inamulikwa kwa kina

TVP katika mradi wa kmapeni ya Jiongeze, Tuwavushe Salama

 

True vision production, video production company in tanzania

Timu ya TVP katika utekelezaji wa mradi

True vision production, video production company in tanzania

HILI KUWEZA KUANGALIA MIRADI NA MAKALA MBALIMBALI KWA NJIA YA VIDEO, TAFADHALI BONYEZA HAPA